Msaada:Tatizo la nguvu za kiume

Acha kuangalia porn dogo hapo ndo tatizo huanza
Then kama zimeisha usijilazimishe kusex tulia tu zitakuja
Miaka ya nyuma 2015 hv nilianza kusumbuliwa na nilkuwa only 21
But ilinitoka nikawa napiga mabao5 mfululizo
Sahv ilinianza nikawcha kuangalia porn( kule jukwaa la wakubwa)
Na staki nisex kwanza for a week more na hali yng ishajirud yaan nina miham hatar na nkiongea na mschana tu kitu ikoo
 
Pole sana, tatizo la kuangalia xvideo na kufikia maamuzi ya kujichua, upweke huwa unachangia kwa kiasi kikubwa!

Wengi tumepita kwenye njia hiyo ya kupiga master, Mungu atusemehe wakati mwingine xvideo au porn pics unaweza kuziangalia popote pale, lakini kujichua inategemea upo kwenye mazingira gani, hasa bahati mbaya pale inapotokea umepata ile nafasi ya kuwa peke yako hapo xvideo uliyoiangalia jana hisia zote zinarudi, kazi inaanza!

Mimi naamini kabisa kama huna mwanamke na ukachukua maamuzi ya kuangalia xvideo kwa kuifanya kama ndio kazi, maana yake ni kwamba lazima ujichue, huwezi kukwepa labda uwe Hanithi.

Hatua ya awali ili uwezo kupunguza ile speed ya kujichua tafuta mwanamke wa uhakika ambaye atakuwa tayari kumaliza haja zako wakati wowote. Ukiacha kutafuta mwanamke halafu ukasema kwa mbwembe na viapo ukala, kuanzia leo sipigi tena master! Ni uongo, unajidanganya kesho tena utapiga halafu utajuta! Mkuu naomba uni PM nitakupa dawa utaitengeneza mwenyewe kwa mikono yako itakusaidia sana.
 
huko jukwaa la wakubaa vigezo gani kuingia huko?
 
Tatizo lako umeshailisha akili yako kua huwezi kuperform,nayo akili yako imesha save hilo jambo,iweke akili yako free na ujiamini,acha kumuwaza huyo girlfriend wako uliyeachana nae,acha kuangalia porn na kujichua,fanya mazoezi,kula balanced diet,pumzisha mwili wako,punguza mawazo na stress zisizo na ulazima.
 
Ungeweka hapa mkuu hiyo dawa isaidie wengi wengine tuna shida tunakufa kijeremani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu relis, tatizo humu kuna wajuaji na waganga njaa - hayo madini huwa hayatolewi hivi hivi mpaka ipatikane sababu msingi, zaidi tunawapa nafasi wale wanaosema sijui tuliza akili, kula matikiti sijui kula matango, fanya mazoezi, sijui tafuta pesa ilimradi kila mtu ana dawa yake ya kumaliza tatizo husika.
 
Njoo inbox nikupe wxperience yangu hakika utapona
 
Pole sana mkuu nina mengi ya kukushauri lakini nikazie kwa kusema tu..

Katika safari ya kuondoa tatizo kwanza kabisa hunakiwi kupanic.kupanic kuna hasara nyingi sana ndio maana utakuja kuona hata katika mapambano ya bondia mchezaji akipanic inakuwa rahisi kupigwa.

Ukiwa umepanic basi itakufanya uwe na hasira zaidi endapo utarudia kosa lile lile ambalo una malengo ya kuliacha.

Usipanic na kuona tatizo ni kubwa saaana mkuu,chukulia ni tatizo la kawaida sana na huo ndo ukweli HILO NI TATIZO LA KAWAIDA SANA KWETU WANAUME tofauti na vile ambavyo tunalichukulia.

Ni tatizo la kawaida ambalo halimpasi kumnyima mtu raha na amani na kumpa mawazo kama ambavyo mtu hanyimiki raha anapokuwa na njaa hawezi kuwaza na kuhangaika eti kwa sababu ana njaa.

Ni tatizo la kawaida kama ilivyo tatizo la mtu kukaa baadhi ya nyakati hajaenda kupata choo kikubwa.

Ni tatizo la kawaida kama ilivyo kwa mtu akaamka asubuhi shingo inamuuma kidogo.

Ni tatizo la kawaida kama ilivyo kwa mtu akawa hajafanya kazi kwa ukamilifu katika baadhi ya siku akiwa kazini.

Ni tatizo la kawaida kama ilivyo kwa mtu kuwa kwenye foleni akiwa anaenda kazini.

Haya yote ni kawaida na ni katika sehemu ya maisha ambayo hayatakiwi kutunyima raha akama ambavyo wewe unanyimika raha.

Kati ya hayo matatizo ya kawaida ambayo nimeyataja tukiacha la kwako,je ni lipi ambalo huwezi kukaa ukamuambia mkeo kwamba nimepata tatizo fulani? Bila shaka HALIPO.

sasa basi mkuu ikiwa hayo matatizo unaweza kumuambia mwenza wako au mkeo basi jua kwamba unskuwa umeyachukulia kawaida sana kiasi kwamba unaona unaweza kushare na wengine.

Kwa kawaida saana ni kwamba sisi binadamu mambo ambayo tunadhani ni fedheha kubwa HATUTAKI WENGINE WAYAJUE,TUNABAKI NAYO KAMA SIRI.
Na wewe ndugu yangu bila shaka hili suala umekuja kushare humu kwa sababu hujulikani lakini nina HAKIKA HUWEZI KUMUAMBIA MWENZA WAKO KWAMBA KUNA JSMBO LINAKUTATIZA WAKATI UKIWA NAE KWENYE MAPENZI.. AU UMESHAWAHI KUMUELEZA ?

Basi jua kwamba ikiwa unashindwa kumuelezea mwenza wako basi jua kwaamba UMELICHUKUA NA KULIFANYA KUWA NI TATIZO KUBWA SANA NA LINAKUUMIZA SANA MOYONI MWAKO.na hivyo ndo itakuwa linaendelea kukutafuna.

Sasa basi mkuu hutakiwi kunyimika raha kwa jambo la kawaida kama hili.sex ni nyanja katika nyanja za maisha lakini waru tumechukulia tatizo kuuuuuuubwa kiasi kwamba tunaona aibu kushare na wengine kwa vile ambavyo tumeona ni fedheha.

AMINI HILI NI TATIZO DOGO SANA KAMA MATATIZO MENGINE YALIVYO.MBONA UNASHARE NA MPENZI WAKO BAADHI YA MATATIZO YAKO NA SIO HILI?

kumbuka kwamba ni HATARI ZAIDI kumficha mpenzi wako juu ya hilo tatizo kwa sababu..

UKIWA NAE UTAKUWA UNAWAZA KILA MDA JUU YA TATIZO NA UTAKIWA UNATUMIA NGUVU KUBWA SANA KUFIKIRIA KAMA LILE TATIZO LITAJIRUDIA.

NA HAPO UTAKUWA UNAWAZA NA KUJISEMEA "MMH HAITOLALA HAPA SAIVI"ATANIONAJE?,SIJUI ANANIONAJE HUYU? HAPA ANAWAZA KWAMBA NINA TATIZO LA NGUVU ZA KIUMEE"

Basi utakuwa unajiwazia kama hivyo na kupambana na fikra zako hapo ndipo ambapo utakuwa unawaza kama hivyo na hayo mawazo yatakupelekea moja kwa moja LILE TATIZO KUISHI KICHWANI MWAKO NA KILA SIKU HALI HIYO ITAJIRUDIA KWA SABABU UTAKUWA NA MAMBO MAWILI KICHWANI MWAKO.

1.utakuwa unapambana tatizo lisijirudie.
2.utakuwa unapambana mpenzi asijuee kama una tatizo.

Lakini habari njema ni kwamba WANAWAKE WAKIONA HALI KAMA HIZO WANAJUA KAMA HATUZIFURAHII NA WANAELEWA VILE AMBAVYO TUNAJISIKIA NA KUWAZA LAKINI WENGI WAO HAWATAKI KUTUULIZA KWA SABABU WANAHISI WKITUULIZA WATATUONGEZEA TATIZO.

HIVYO MUELEZE MPENZI WAKO TATIZO LAKO ALAFU MULIZUNGUMZE KAMA NI TATIZO LA KAWAIDA SANA AMBALO NI KATIKA SEHEMU YA MAISHA.

Chukulia poa mkuu.

Katika maisha kumbuka kils tajiri lazima apitie changamoto ili kuufikia utajiri

Kila mwana riadha lazima apitie changamoto ili kuwa mwana riadha bora.

Kila mwenye nguvu za kiume hupitia pia changamoto ili kuufikia uksmilifu.

Na yako NI MOJA KATIKA CHANGAMOTO.

nina mengi ya kuandika lakini kwa haya machache NAOMBS UYSZINGATIE KWA KADRI YA UWEZO WAKO.

Nakutakis safari njema
 
Mbaka uje ukae sawa inahitaji mda sana, utakua umezeeka sana cha kukushauri wewe endelee tuu kujipa raha mwenyewe.
 
Kwa maelezo yako wewe ni mzima kabisa
Tatizo lako unawazarau tu
Ukipata tena eneo latukio zima taa yani iwe giza kabisa hafu anza kwa stor mpaka mucheke ukijikuta upo kawaida kabisa yani huna mheuko anza kwa kumbatia mpaka uhisi joto lake apo endelea kutomasa kwa upoole.

ZINAA NI HARAM ZINAA NI UCHAFU
 
Kujichua!😁😁😁😁
Umenikumbusha mbali sana enzi hizo tunasoma huko uboyzini!
Hiyo huwa ni zaidi ya arosto ya unga aiseee!
Dawa!
Upate demu upige nao ndani ya dakika moja akuchekeeeee roho ikisononeka utaacha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…