Msaada: Tatizo la Microsoft Net framework 3.5

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
Habari za miangaiko ya maisha wakuu, pole sana kwa kazi
Kwa wale wenye ujuzi na mambo ya kompyuta naomba minisaidie jinsi ya kuondokana na hili tatizo la Microsoft Net framework 3.5 kwenye windows 8.1 mana kuna apps nikijaribu kuinstall wananiambia niinstall hiko kitu na nimejaribu kuinstall zaidi ya mara kumi online ila bado sijafanikiwa wananiambia error 689 na hata nikitumia command prompt bado sijafanikiwa mpaka leo, naombeni msaada kwa hili mana mpaka napata wazo la kuweka tu windows 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…