Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Jabari wakuu, i hope mko ok..
Niende diende direct kwenye mada husika, niliumwa sana mwanzoni mwa mwezi huu, nikalazwa nikiwa sijitambui kabisa, nimetundikiwa drip tofauti za dawa za kutosha na dindano na dawa, hatimae nikapata nafuu ambayo kila mtu alishangaa imekuaje kwa hali nilokua nayo.
Sasa nimeelezea hayo kidogo ili Madr. mpatr mwanga kiasi. Niliporuhusiwa nilapewa dawa dozi kama 6, saa hii zimebaki 4 na ni nyingi, moja inaisha mwakani. Lakini tangu nimekua natumia hizo dawa au nilivotoka hospital nakojoa sana, yani hadi kufkia kuomba ushauri mjue hadi nimeogopa wazee.
Maji yes nakunywa lakini nakojoa zaidi ya ninachoconsume, kila baada ya dk 40 au 35 nikinywa maji mkojo unanibana tena ule ambao unataka kutoka muda huo huo, hiyo hali inanichosha sana.