Itakuwa inajiupdate funga updates au ifanye network iwe limitedHabarini ndugu wataalamu, naombeni misaada wenu kutatua hii changamoto ya computer kula sana MB, yaan ndani ya dakika 5, unakuta umetumia 500MB, na hapo hujadownload kitu chochote.
Hii inasababishwa na nini na je inawezekana kutatuliwa.
Msaada wenu tafadhali.
Ni desktop mkuuKuna app zinarun background so restor laptop yako kama huzijui au gugu jinsi ya kuzifunga
ThanksSet hiyo network yako as METERED NETWORK. (unaweza kugoogle jinsi ya kuseti?
hakuna background process ya windows itakula Mb zako wala windows updates.
Note: windows updates are crucial for stability and security of your OS
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Thanks-Zuia automatic updates
-uninstall unused apps(nenda kwenye control panel remove masoftware ambayo hutumii mara kwa mara)
-
Hapo tunafanyafanyaje ndugu, msaada tafadhaliItakuwa inajiupdate funga updates au ifanye network iwe limited
Naingilia mada Jamani..mwenzenu nikidownload YouTube naambiwa hivi..Kuna files nilifuta Sasa kumbe nikaitoa na YouTube..
View attachment 2202828
Acha uongoVirus Aina ya the möchte mich gerne hao
Kompyuta huwa haili MB na haijwahi kula MB hata siku moja. Kuna service moja TU maarufu inayoweza kula MB zako, unapokuwa umeiweka ON au inapokuwa iko ON pasipo wewe kujua, nayo inaitwa AUTO-UPDATE. Still, nina shaka kama AUTO-UPDATE inaweza kuwa inakula MARA KWA MARA 1/2GB nzima and in just 5 minutes. Perhaps you have got to think out of a box; something might be wrong somewhere!Habarini ndugu wataalamu, naombeni misaada wenu kutatua hii changamoto ya computer kula sana MB, yaan ndani ya dakika 5, unakuta umetumia 500MB, na hapo hujadownload kitu chochote.
Hii inasababishwa na nini na je inawezekana kutatuliwa.
Msaada wenu tafadhali.
UnanibishiaAcha uongo
NdioUnanibishia
Oyaa, mbona kama unatupiga?Virus Aina ya the möchte mich gerne hao
Jamaa kaenda kutafuta neno la kijerumani, kalileta humuAcha uongo
mpaka ikabidi niingie mtandaoni maana lugha ilinichanganya😀Jamaa kaenda kutafuta neno la kijerumani, kalileta humu
Seriously hyo manOyaa, mbona kama unatupiga?