Weka driver pack solution ifanye installation ya driver zote ikimaliza hilo tatzo litakuwa limeisha .Amani iwe kwenu wadau
Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic window updates lakini siipati. Naombeni msaada jamani.
Samahani mkuu hiyo naipata wapi?Weka driver pack solution ifanye installation ya driver zote ikimaliza hilo tatzo litakuwa limeisha .
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Ingia google search kwa kuandika [HASHTAG]#download[/HASHTAG] driver pack solution# utaletewa result au subiri nikupe linkSamahani mkuu hiyo naipata wapi?
Asante mkuu nasubiri hiyo linkIngia google search kwa kuandika [HASHTAG]#download[/HASHTAG] driver pack solution# utaletewa result au subiri nikupe link
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hiyo drive pack ni free in charge mkuu?Weka driver pack solution ifanye installation ya driver zote ikimaliza hilo tatzo litakuwa limeisha .
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Ni free. Ww na bundle lako la netHiyo drive pack ni free in charge mkuu?