Fuatilia hapa msaada-tafadhari.Shikamooni wadau wa jf,mimi ni kijana wa umri wa kuwa na girlfriend hapa namanisha nimepevuka vya kutosha na natambua mema na mabaya....ok!ngoja nije kwenye hoja ya msingi nimebahatika kumpata mwandani wangu na nimedumu naye zaidi ya miezi mitano cha ajabu kila nikimuomba MZIGO ananizungusha hii ni mara ya tatu,yani nashndwa kumuelewa kama ananipenda au hanipendi mana tunapanga mipango flesh bt at the end anazingua....mpaka nawaza au ana Vagina dentacta nini?naombeni ushauri ni mwache au nivumilie 2..?
Fuata hapa kwa mengi zaidi anamapenzi-ya-ajabu-huyu-manzi.Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?
Fuatilia hapa mtu-anayevunja-ahadi-kwa-wapenzi-huwa-anamana-gani.Mazee npeni ushaur kwa huyu wangu manzi mana nimemuomba MZIGO zaidi ya mara tatu lakini anazingua,2mepanga zaidi ya mipango ya kukutana lakini yeye anavunja ahadi mpaka nashndwa kumuelewa kama ananipenda au....eti wadau nimwache au niendelee kuvumilia 2...nipeni ushauri
respect mzee.:yo:Vijana wa sasa wanataka kuifanya Jf kama Fb, wewe Faru dume mbona hueleweki?
Hivi unakumbuka ulivyoandika hii, tena ni leo hii hii. Acha kucheza na akili za wakubwa zako.
Fuata hapa kwa mengi zaidi anamapenzi-ya-ajabu-huyu-manzi
Asnam na Zamaulid come this way mumuone kijana anavyotangatanga.
Vijana wa sasa wanataka kuifanya Jf kama Fb, wewe Faru dume mbona hueleweki?

mbona nimeshamchana live,mbaya zaidi ananiambia nachoonga sana eti wabongo ndo tulivyo wakati tunamchora tu hapa na ufinyu wake wa kupangilia mawazo.
Shikamooni wadau wa jf,mimi ni kijana wa umri wa kuwa na girlfriend hapa namanisha nimepevuka vya kutosha na natambua mema na mabaya....ok!
Hii hapa chini umeituma leo saa 11:08
Fuatilia hapa msaada-tafadhari.
Hii hapa chini umeituma leo saa 12:03
Fuata hapa kwa mengi zaidi anamapenzi-ya-ajabu-huyu-manzi.
Hii hapa chi umetuma leo hii hii tena saa 11:17.
Fuatilia hapa mtu-anayevunja-ahadi-kwa-wapenzi-huwa-anamana-gani.
Vijana wa sasa wanataka kuifanya Jf kama Fb, wewe Faru dume mbona hueleweki?
Leo hii umeanzisha threads 3 tena kila moja ikitofautiana na nyingine? Vipi kijana unamatatizo ya akili au?
Acha ujinga jaribu kubadilika au ndo unatafuta usupperstar mitandaoni?
Asnam na Zamaulid come this way mumuone kijana anavyotangatanga.
Napenda kuwashukuru wote waliocoment vizur pia wale wanao dis nyuz zangu hzo ni changa moto 2,nazichukua then nazfanyia kaz at the end nitakuja na nyuz kalee then mtazkubalee,halafu kila k2 kitakua pouwa au vp wadau...pia ningependa kuwaomba msamaha kwa wale nilio wakwaza.ASANTENI SANA WANA JF
Tuko Pamoja mkuu.saudari asante sana!
Napenda kuwashukuru wote waliocoment vizur pia wale wanao dis nyuz zangu hzo ni changa moto 2,nazichukua then nazfanyia kaz at the end nitakuja na nyuz kalee then mtazkubalee,halafu kila k2 kitakua pouwa au vp wadau...pia ningependa kuwaomba msamaha kwa wale nilio wakwaza.ASANTENI SANA WANA JF
Hamna shida mdogo wangu kwa moyo wote nimekusamehe, naamini utajirekebisha.
Fanyia kazi mawazo uliyopewa, fanya hivyo uone kama hauta wabamba watu.