Msaada tafadhari!!

Msaada tafadhari!!

kingfisher93

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
56
Reaction score
23
Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi. Naamini jukwaa hili kuna watu wana/wamiliki wa project za kilimo na ufugaji na naweza kupata msaada. Nahitaji kazi katika maeneo tajwa hapo juu kama 'unskilled labour' japokuwa naweza kukupa ushauri mdogo katika mifugo na kilimo kutokana na elimu na uzoefu nilio nao .Mwenye uhitaji wa mtu design yangu naomba tuwasiliane. Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom