we tayari ushafeli yani kama hadi leo huwezi kujua tofauti kati ya R na L unadhihirisha umbulula wako umeonae ugumu gani kuandika TAFADHALI unatuandikia TAFADHARI ? ndo maana hata ukaambulia kupata udom ujipange unafikiri chuo ni secondary uende twishen? tena udom chuo cha kata wala hakuna kujipanga
sikuhitaji dharau za namna hiyo mfano cjui chuo cha kata mwingne kaamua kurekebisha herufi za kwenye uzi kama huna hoja ya kuhusiana na ombi langu si ni bora zaidi ukaacha kuchangia?naomba tuwe waungwana.
mkuu inabidi ukakaze sana na mambo yasiyo ya msingi (mademu....ulevi wa kupindukia..ubishooo n.k) tupa kule.
Hakuna course ngumu wala nyepesi its all in the state of mind, the way u look o take things is the way the outcomes will be. the way u think about smthng is far important than smthng itself.. so u need to think pistive n u'll meet the desire f ur heart