Msaada tafadhari wa tiba ya 'Ingrown toenails'

Log

Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
78
Reaction score
45
Kama mada isemavyo, naomba msaada wa tiba ya 'Ingrown toenails'.

Ni kwamba kucha za vidole gumba vya miguuni zikikua huwa zina kata nyama za kidoleni kadri zinavyorefuka hasa upande wa ndani ya kidole.

Nilijaribu kuziacha zirefuke ili zipite juu ya nyama ya kidole lakini hali ikawa mbaya kwa maumivu hasa nikivaa viatu vya kufunika. Na viatu nivaavyo ni vile vipana na sio vya kubana na vyembamba mbele.

Naishi Dar es salaam

 
Nilishawahi kuumwa hivyo ila sikumbuki ile hospital nimeenda wala dawa. Sikuwahi kuumwa tena mpaka leo na navaa viatu vya kufunika bila tatizo. Nenda hospital utapata tiba. Pole sana
 
Mkuu vipi ulipata tiba
Ulienda hospital gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…