Edo Mashili
Member
- Apr 19, 2015
- 24
- 0
Mpatie vidonge vinaitwa cetrizine
Anakunywa kimoja kila siku
Wacha kabisa kushauri watu kutumia dawa Ovyo.
We unafahamu km mgonjwa ana kidney problems au porphyria ( rare inherited blood disorder) unaweza Kumdhuru na hio cetrizine?
Msipende kutoa ushauri bila kujali yatakayomkuta mgonjwa.
Ndio maana Kukawa na Hospitali na Madaktari sio kuambiwa tu na yyt kisha Ukaamua kutumia dawa bila vipimo.
Mtakuja kuua watu bure bure.
Mkuu sasa ndio unapiga za uso bila simile
Ni kweli nakiri kukosea, lakini nae huyu mbuloumundu kwa nini asiende kwa dakitari?
Mkuu Tatizo sio yeye.
Tatizo liko kwenye hali ya maisha.
Watu wengi hapo Tz wanatafuta tiba nafuu matokeo yake wanadhurika zaidi.
Ndio maana mimi huepuka kutoa ushauri wa aina yyt zaidi ya kumwambia mgonjwa akaonane na daktari.
Tuko pamoja .
U doctor mwingine ndio upi?
Au una maanisha km wa Slaa wa upako upako?