Leo ndio nimetambua kuwa kwenye form za mikopo ya elimu ya juu nipo kwenye majina ya waliokosea, sababu ni not signed to local authority.
Lakini nakumbuka nilipeleka kwa mtendaji wa kijiji alisaini,sasa sijui nifanyeje, hata nikienda kwenye ofisi zao nasaini kwa niaba au nafanyaje?
Ushauri niende au inakuwaje?