jamaajamii
Member
- Apr 19, 2015
- 70
- 6
Kuokoka na kumcha Mungu ni vitu viliwi Tofauti.Mtu anayemcha Mungu anawefanya mapenzi nje ya ndoa.Lakini mlokole hawezi.Kwa ombi langu hilo siwezi kuwa mlokole.Maelezo yko bdo hayana nyama za kutosha. kwnz lazma ujue sifa za mtu anaefaa kuwa mume. unamtaka mcha mungu ww umeokoka?
Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.Hii njia ya kutuma maombi si nzuri sana kwenye ishu za mahusiano kama vile mtu anaomba kazi aisee....athari zake ni kwamba ukimpata wa kumpata mnaweza kutumiana maombi hata kwenye mambo ya faragha
Nitumie namba ya cm basi,tuzungumze.Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.
jamaajamii mimi ni mwanaume kamili kwahiyo siwezi kutuma maombi, hii post yako umeweka hapa upenuni kwahiyo yeyote anaweza kutoa maoni yake ambayo mengine yatakuwa na msaada mkubwa kwakoMshana jr.Hilo ni ombi lipokee kama una sifa au likatae.Hakuna haja ya kunikosoa.
Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.
Nitumie namba ya cm basi,tuzungumze.
:what::what::what::what::what::what:
Chukua jiwe umponde....ha ha ha:what::what::what::what::what::what:
Deadline ya maombi lini?
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi yatumwe:jamaajamii@gmail.com
Amesahau ku log out ili atumie account nyingine
Chukua jiwe umponde....ha ha ha
Deadline ya maombi lini?
Mshana jr.Hilo ni ombi lipokee kama una sifa au likatae.Hakuna haja ya kunikosoa.
Umepata mke mimi apa
Eeeeh! Majanga! Unamtaka hadi mshana! YIESU!