TarimoJr JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 225 Reaction score 131 Jan 7, 2015 #1 Nikifanya installation ya win xp p3 kulog in ni lazima nitumie safe mode la sivyo inastack kabla haijafunguka.Nikiinstall win bila ya kuinstall zile device zinazokuja baada ya kuselect logo,inawaka vizuri ila haiwi stable.Tatizo nini?
Nikifanya installation ya win xp p3 kulog in ni lazima nitumie safe mode la sivyo inastack kabla haijafunguka.Nikiinstall win bila ya kuinstall zile device zinazokuja baada ya kuselect logo,inawaka vizuri ila haiwi stable.Tatizo nini?