mabesela JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,294 Reaction score 680 Jul 24, 2014 #1 Habari zenu ndg. Jamani ni wiki moja na siku tano sasa zimetimu tangu simu yangu iwe inajifungua yenyewe GPS. Kila nikiiswitch off inajiswitch on , nimeshahangaika sana hivyo naombeni msaada wa kuizima hii GPS na simu yangu ni TECNO S5.
Habari zenu ndg. Jamani ni wiki moja na siku tano sasa zimetimu tangu simu yangu iwe inajifungua yenyewe GPS. Kila nikiiswitch off inajiswitch on , nimeshahangaika sana hivyo naombeni msaada wa kuizima hii GPS na simu yangu ni TECNO S5.