Kingo JF-Expert Member Joined May 12, 2009 Posts 856 Reaction score 396 Feb 21, 2014 #1 Wanajamii naomba mwenye kujua bei (market value) ya viwanja, kama nusu ekari maeneo ya Kunduchi karibu na Kunduchi Beach Hotel anijuze tafadhali. Niko mbali kidogo kupata Land valuer. Asanteni.
Wanajamii naomba mwenye kujua bei (market value) ya viwanja, kama nusu ekari maeneo ya Kunduchi karibu na Kunduchi Beach Hotel anijuze tafadhali. Niko mbali kidogo kupata Land valuer. Asanteni.