Marga Senior Member Joined Jun 8, 2012 Posts 113 Reaction score 34 Apr 2, 2013 #1 Habari za kutwa wadau?Mwenye uelewa kuhusu kubadilishana vituo vya kazi kwa waalimu naomba anijulishe. Je inawezekana mwalimu mzoefu kubadilishana na mwalimu wa ajira mpya? Natanguliza shukrani.
Habari za kutwa wadau?Mwenye uelewa kuhusu kubadilishana vituo vya kazi kwa waalimu naomba anijulishe. Je inawezekana mwalimu mzoefu kubadilishana na mwalimu wa ajira mpya? Natanguliza shukrani.