Lupalilo ngwada
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 128
- 101
Nakushukuru kwa ushauri.kwa unyenyekevu nafanya mkuuUngeeleza ulipo na mkoa ili mtoa msaada apate kujua kwa haraka baadh ya mambo kuusu wew pia ungeeleza unafny biashr gn izo bidhaa unazohtaj
Mungu asaidie ufanikiweWapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali
Nashukuru kwa mawazi mazuri.kwa sehemu nimeeleza.ndio maana nimesema aliyetayari hata kwa kutaka kunijua zaidi aniPM.Yote kwa yote nakushukuru kwa wazo lako.Upo wapi
Bidhaa gani
Kiasi gani cha pesa
Dhamana yako
Ongeza hizo nyama ili wadau wakisoma waelewe kiurahisi.
Njombe mkuu.sio biashara ya milungi.naomba urudie kusoma mkuuHuko Songea ni mbali sana Mkuu,halafu hiyo biashara ya Mirungi ni hatari sana.
Duuuh👈Ungeeleza ulipo na mkoa ili mtoa msaada apate kujua kwa haraka baadh ya mambo kuusu wew pia ungeeleza unafny biashr gn na izo bidhaa unazohtaj ni zipi
Gomba😁😁😁Huko Songea ni mbali sana Mkuu,halafu hiyo biashara ya Mirungi ni hatari sana.
Wapo watu Wana ROHO nzuri mkuuHaya haya ngoja mm nipumzishe fuvu kesho nidamke nikaokote makopo nisitie tie huruma Kwa watu mwishowe nisimangwe nishindwe kula Bata Kwa Raha baada yakujipata kisa tu walinipa msaadaa😂😂
Nataniaa
Ume edit uzi wako baada ya comment yangu,Njombe mkuu.sio biashara ya milungi.naomba urudie kusoma mkuu
Ndio mkuu nimehariri.baada ya ushauri wakoUme edit uzi wako baada ya comment yangu,
Sijui kwanini uongozi wa JamiiForums unashindwa kuonyesha kwenye comment neno edited pale mtu anapo edit comment/Uzi.
Amani iwe nanyi wapendwa!Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali.napatikana Njombe mjini mkoa wa Njombe.nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi vidogovidogo.biashara haikui kutokana na mtaji mdogo sana.naimani nikiwezeshwa katika Hilo.nitanyanyuka.asanteni
Poa mkuu,All the best.Ndio mkuu nimehariri.baada ya ushauri wako
Nashukuru mkuu.unajua hata namba ya kuumba ujumbe nacho ni kama kipaji.naombeni mnivumilie kwa makosa hayo mkuuAmani iwe nanyi wapendwa!
Ninaitwa .....
Ninapatikana .....
Mimi ni mmiliki wa duka/nina mpango wa kumiliki duka la .....
Nimeshafanya kwa kiasi fulani/ ndiyo ninaanza biashara, lakini changamoto yangu ni mtaji. Ninahitaji mkopo bidhaa ama mkopo wa fedha za kununulia bidhaa ili kuanzisha/kukuza biashara yangu.
Naomba kufahamishwa njia za namna nitakavyoweza kutimiza azma yangu, au kama kuna mtu anaweza kunikopesha, ninaomba anishitue ama anitumie ujumbe inbox ili tuweze kukamilisha taratibu nyingine muhimu.
Jaza na maelezo mengine ya maana hasa ambayo yanatonesha utaweza kulipa mkopo bila nongwa.
Achana na mambo ya hela za watu wanazotumia kwa siku wewe unatafuta kwa mwezi, huko ni kulialia na kuonesha redflags kwamba utasumbua kulipa kwa kigezo una maisha magumu kuliko aliyekupatia mkopo.