ABEDNEGO Senior Member Joined Aug 20, 2009 Posts 109 Reaction score 30 Jul 29, 2011 #1 Kwa mwenye kujua TV Chanel provider wa Kichina nadhani wanaitwa "Zing" wanapatikana wapi, wakala wao wako sehemu gani na bei zao za kuunganisha ni kiasi gani. Mnijuze mwenzenu.
Kwa mwenye kujua TV Chanel provider wa Kichina nadhani wanaitwa "Zing" wanapatikana wapi, wakala wao wako sehemu gani na bei zao za kuunganisha ni kiasi gani. Mnijuze mwenzenu.
kimatire JF-Expert Member Joined Nov 27, 2008 Posts 371 Reaction score 94 Jul 29, 2011 #2 Subiri kidogo wanakuja nasi tunufaike....