jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 348
- 500
Habari zenu.......... Tatizo la nyonga upande wa kushoto pamoja na misuli ya mguu ambapo misuli huuma kuanzia pajani kushuka mpaka karibu na kisigino..... ... Ipi tiba yake na dozi yake ipo vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app