Cephalosporins
Member
- Jul 25, 2018
- 7
- 2
Rafiki yako au wewe mwenyewe?Mambo vipi wakuu, naombeni msaada juu ya hili. Nina rafiki yangu mmoja kamaliza form 6, 2017 na akawa amepata CCB ya Pcb na alikuwa anatamani sana kusoma chuo cha KCMUCo, ila kutokana na lile sekeseke la kufungiwa akawa amegahiri kwenda chuo kingine na akawa anajitolea kwenye shirika moja lisilo la kiserikali. Na lengo lake ilikuwa ni kusoma course mojawapo kati ya hizi
Ila mpaka sasa anashindwa kuwa specific, kwani anadai anapenda course zote hapo, NAOMBENI TUMPE USHAURI juu ya hizo course tajwa hapo juu
- Physiotherapy
- Optometry
- Prosthetic and Orthotic
- Doctor of Medicine
kwa ufupi mimi mwenyewe nilimshauri apige MD ila akasema inachukua muda mrefu kuliko zingineRafiki yako au wewe mwenyewe?
Km ni rafiki yako wewe ushauri wako wa kwanza uliompatia ni upi?
sawaApige zote tu kwa mkupuo mbona fresh tu
Kama anataka za muda mfupi mwambie akasome ualimu au udaktari wa mifugokwa ufupi mimi mwenyewe nilimshauri apige MD ila akasema inachukua muda mrefu kuliko zingine
Kama anataka za muda mfupi mwambie akasome ualimu au udaktari wa mifugo
Na hiyo ID yako umeshindwa kumshauri kweli??kwa ufupi mimi mwenyewe nilimshauri apige MD ila akasema inachukua muda mrefu kuliko zingine
No udaktari wa mifugo Ni miaka mitanoKama anataka za muda mfupi mwambie akasome ualimu au udaktari wa mifugo
Factphysiotherapy ndo iko bomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona aende MDApige zote tu kwa mkupuo mbona fresh tu