Ipeleke kwa afisa elimu wa wilaya ,kisha afisa elimu mkoa anakotoka, na baada ya hapo ndo utaipeleka kwa afisa elimu wilaya na mkoa anakokwenda yaani Afisa Elimu wilaya ya Kibaha kisha A.Elimu mkoa wa Pwani na mwisho shule anako hamia utakuwa umemaliza kazi.
kama ni boarding kwenda boarding inaweza ikawa rahisi ila kama ni day kwenda boarding then ambatanisha na sababu za msingi kuhalalisha kuhamishwa huko, kama ulivyoelezwa hapo juu barua zinapita kwa REO na DEO (Sekondari)