MSAADA TAFADHALI

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
Habari za usiku wana JF?
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote Anaoujua wimbo wa kwaito ambao unapigwa sana kwenye harusi na hata masherehe ambao kiitikio ni sauti ya kike inaitia
Nakupendaa aah
Nakupenda aaah

Kama kuna mtu anao naomba anitumie kama unaujua naomba unitajie jina la wimbo na jina la msanii.

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…