Narudia hakuna, wanaodai wanazo wanawatarget vilaza wawaingizie mavirus. Kungekuwa na software unayoweza kuigoogle kijingajinga Facebook wangekuwa wameshajua na kuziba hilo pengo, wana department nzima zinadeal na security kama unataka kuhack facebook itabidi utafute vulnerability mwenyewe kitu ambacho wachache sana wanaweza kufanya.