Wataalam naomba msaada kama hii kitu inawezekana au la.
Nina samsung T 929 Nilikuwa nahitaji kusikiliza redio za hapa bongo(free) ila nahisi software haipo, kama kuna jinsi yeyote ya kuweza kufanya niwe napata radio stations nitashukuru wataalamu wangu.
nawakilisha wadau