Msaada tafadhali, Samsung galaxy y duos

ellyswema

New Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
2
Reaction score
1
nnaomba kujuzwa kama kunanjia ya kusolve matizo yafuatayo kwenye simu aina ya Samsung galaxy y duos
-system storage getting low, hapo unakuta no any installed application kusema kwamba inachukua space kubwa despite phone memory kuwa ndogo
- pia simu kujirestart mara kwa mara
-mwisho napeda kujua namna ya kuinstall applications kwenye sd card au kuifanya default

Much thanks to you all....
 
System storage getting low:- Samsung Galaxy Duos zipo model nyingi ukituoatia model yake halisi itakua rahisi zaidi.., ila unatakiwa kuzingatia yafuatayo kwa hilo tatizo,, jaribu kuangalia kama ume-enable auto update za Applications kwenye Play Store App, kama Ndiyo Disable..
Pia kwa System Applications kama Gmail, YouTube, Google Map na nyinginezo nakushauri unistall updates, na pia kama imekuja na Google+ jaribu kuifreeze kabisa..
Tatizo la simu kujirestart mara kwa mara linasababishwa na mengi kwa hilo fanya hard reset kupitia Recovery,, ili uanze upya na nadhani itakua ni moja ya solutions kwenye tatizo la kwanza pia..
Kuhusu installing apps directly kwenye SD card, siyo kila Application imetengenezwa kwenda kwenye SD CARD nyingine huwa zinakua kwenye System partition by default unless uwe na root access kwenye OS yako ambapo, root acces itakuwezesha wewe kuhamisha Applications nyingi kwenda kwenye SD card na pia kukuwezesha kuondoa System Applications usizozihitaji..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…