Sawa hakuna shidaUmesema ni mtu wa dini lakini sasa hivi unamtafuta mganga na feemason ili upate utajiri,kwahiyo huyo Mungu wako uliekuwa ukimuamini haumtaki wala kumuhitaji tena.Kama ni Corona wewe ya kwako imeingia kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana nitajitahidiUsikate tamaa Kaka, mafanikio huja ukizingatia kujituma... Jaribu kupitia mada kadhaa humu ujifunze watu wanavyopitia misukosuko kabla ya kusimama imara
Pambana mpaka kieleweke[emoji123]View attachment 1417776
Dahh!! Sasa huo ujinga unakujaje mkuu !! Na huko Njombe sijawahi hata kufika ila naweza kutafuta nauli nikaenda ila ardhi ya kupandia nitahama nayo hembu fafanua frshh sio kila mtu wakishuaAcha ujinga wewe. Nenda Njombe ukalime parachichi zile ambazo zinazaa throughout the year. Panda miche mia tu. Thank me after 30 months
fanya kazi hata kubeba zege acha kupoteza muda na pesa kuzunguka kwenye maombi, hao wenyewe wanaokuombea wanahitaji hiyo hela yako. JIONGEZESio Wa huko Mimi Niko mkoan nilienda kwa kufuata huduma ya maombezi
Naona sasa unaanza kuwa binadamu. Itaendelea nikimaliza mambo yangu.....kuna baridi sana huku Njombe muda huuDahh!! Sasa huo ujinga unakujaje mkuu !! Na huko Njombe sijawahi hata kufika ila naweza kutafuta nauli nikaenda ila ardhi ya kupandia nitahama nayo hembu fafanua frshh sio kila mtu wakishua
itaje ata moja kubwa kuliko kati ya hizo ulizowahi kuomba...Nyingi tu