Msaada tafadhali kwa wanaofaham hili...TRA

Sekibuju

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
315
131
Nataka kusafirisha pikipiki toka Zanzibar kwenda Dar es salaam, itanigharim kias gani kwenye hizi kodi zetu ikiwa ina usajili wa ZNZ.
 
Kwa kuwa ilisajiliwa zanzibar procedure ni kama gari.nyaraka iliyolipiwa kodi itatizamwa na kama kuna tofauti na waliopitisha Tanzania Bara basi atawajibika lipia hiyo tofauti.ila kama itakuwa kodi ililipiwa sawa na mtu aliyeleta direct Tanzania Bara basi haitolipia ziada yoyote. Atafanya taratibu za usajili tuu...
 
Back
Top Bottom