nadhani unamaanisha iPhone 5S na sio iPhone S5..Nimenunua simu last wk iPhone S5 in Switzerland lakini nashindwa ku install free app.
Nimefungua account ya Apple na nime activate. Sasa, ninapotaka ku install free app ninaambiwa account yangu haijatumika bado kwa hiyo ni review. Nikifanya hivyo nafikia stage naambiwa niweke account namba yangu pamoja na code kwa ajili ya malipo pundit ni kufanya hivyo na sioni option ya none ambayo km Huna account hiyo unaweza skip hiyo stage.
Nisaidieni tafadhali nifanyege iLi niweze ku install free app. Thanks, nipo Moro.
Sent from my iPad using JamiiForums
Very useful info. I almost did the same lakini sikukutana na option ya "None". Thanks let me try again if not again n again!
Sent from my iPad using JamiiForums
kama imekataa directly kwenye simu itabidi ujaribu kwa kutumia iTunes kwenye computer..Mheshimiwa Brakelyn,
Nikifika stage ya Billing Information....
Inatokea,
Visa
MasterCard na
Amex.
Haitokei option ya Discover n None.
Thanks!
Sent from my iPad using JamiiForums
Mheshimiwa Brakelyn,
Nikifika stage ya Billing Information....
Inatokea,
Visa
MasterCard na
Amex.
Haitokei option ya Discover n None.
Thanks!
Sent from my iPad using JamiiForums
Jaribu hiyo ya kutumia computer inaweza ikakusaidia ingawa sina uhakika!!
Kuna rafiki yangu naye nilimletea iPad mini kutoka nje ikamsumbua kama hivyo hivyo kucreate account mpaka nikampa username na password yangu atumie kudownload hizo free software
Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
Nielimishe hapo inawezekana mtu uka mpa username na password yamtu mwengine ikafanya kaz?
Naomba msaada jinsi ya kuactivate iphone 4 ambayo ilfungwa na icloud yake hauijuikama imekataa directly kwenye simu itabidi ujaribu kwa kutumia iTunes kwenye computer..
fuatilia hizi steps:
Open iTunes, and click the iTunes Store link on the left.
Click the App Store link on the top of this page.
Select a free app to download. A simple way to do this is to scroll down to the Top Free Apps box on the right side, hover your mouse over the first item, and click on the Free button that appears when you hover over it.
A popup will open asking you to sign in with your Apple ID. Click "Create New Account".
Click Continue to create your account.
Check the box to accept the Store Terms and Conditions, and click Continue.
Enter your email address, password, security question, and date of birth, and uncheck the boxes to get email if you don't want it…then click Continue.
Now, you will be asked to provide a payment method. Notice now that the last option says None! Click that bullet option…
Then enter your billing address. Simply enter your normal billing address, even though you are not entering a payment method. Click Continue and your account will be created!
If you get the Address Verification screen just verify your county and click Done.
An email will be sent to you to verify your account…
Click on the link in your email to verify your account, iTunes will launch and you're prompted to enter in the Apple ID and Password you just created.
Your account is successfully created!
Now you can easily download any free media from iTunes. Keep an eye on the Free on iTunes box on the bottom of the iTunes Store page for interesting downloads, or if you have an iPhone or iPod Touch, watch the popular Free downloads on the Apps page.
Download application inaitwa 3gu tool kwenye computer yako then unaunganisha usb cable ya simu yako kwenye kompyuta ukimaliza unadownload app yoyote kwenye compyuta then unakuja kumalizia kwenye aimu yako bila malipoVery useful info. I almost did the same lakini sikukutana na option ya "None". Thanks let me try again if not again n again!
Sent from my iPad using JamiiForums