Msaada tafadhali.; hii inamaanisha nini????

Msaada tafadhali.; hii inamaanisha nini????

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Habar wanajamvi, weekend imeishaje wapendwa? Jaman mwenzenu yamenikuta, kuna jambo limenitokea ucku wa kuamkia leo cjaelewa maana yake, tafadhali sana kwa anaejua maana na madhara ya kilichonitokea plz nisaidie japo ushauri.

Nisiwachoshe sana, nikwamb me jana ucku nimelala lakn ucku nimeota nakula chakula kingi afu sishibi, ila sijajua ni chakula gani nimekula. Nimeamka asubuh mama yangu ananiulza kwanin nimenyoa nywele kwa wembe af hovyo?? Ikabd nichukue kioo kujiangalia, hammadi!! Ile najtizama si nikaona nilivyonyolewa?! Yan m2 kanikwangua kabisa na kiwembe imebki ngozi tu,kanyoa sehemu3 tofauti huku utosini na nyuma kisogon chni jiran na shngo. Sina amani tangu asubuh leo. Tafadhal ndug zangu anaejua maana yake na madhara anisaidie.
pia kuna kaka m1 ni mganga huwa ananitongoza sana tunaish jiran huku nyumbn kwe2. Ananisumbua sana ananitongoza me simtaki na nimeshamwambia mara kadhaa bt hanielewi et anataka kunioa, me simtak na simpendi. Sitak kuchuma dhambi kwa kuhc kuwa huenda kuna mchezo ananifanyia coz sina ushahidi na hlo. Nimechanganykiwa tu sina amani hata kidg jameni. Yani nimeshnda naumwa mawazo cjui kama ntaenda job kesho. Plz guyz help!!!
 
Kuna wadudu fulani huwa wanakula nywele ila nimesahau jina lake huenda ndo wamekutembelea. Kama ni mkristu, tumia imani yako kujilinda na hofu ya wachawi.
 
Huwa inatokea kisushirikina kama, unaamini Mungu anaweza kukuokoa na hofu zooote izo, ni PM, NITAKUPA SOMO
 
Wachawi wamekulisha vitu vyao na kuchukua nywere zako. Unatakiwa usimame ktk maombi sana ili uvunje kazi zao juu ya mwili wako
 
Wachawi wamekulisha vitu vyao na kuchukua nywere zako. Unatakiwa usimame ktk maombi sana ili uvunje kazi zao juu ya mwili wako
mbona unamwambia asimame katika maombi? umeassume kuwa dini yake wanafanya maombi pia? wengine wanaamini katika kuchoma udi ili kuita ulinzi wa jini.
 
sali MUngu ndiye muweza wa yote wala usiwe n hofu kabisa mkuu!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwanza kwann umpendi huyo mganga wakati ana nia njema na wewe,
 
Inamaana umekula nywele au uliziona kando na ulipolala?
 
hukuona uji uji katikati ya mapaja na sehemu za makalio ? kapime mimba na ukimwi

Acha ujinga bro,mtu yuko serious we unaleta ujinga ujinga,kama huna cha kuandika si ukae kimya,amekwambia kuhusu nywele we unaleta mapenz,jiheshimu hata kama hatukujui
 
aisee...! pole yaani umekula nywele? naamini ni suala la ushirikina hapo limeingia!
 
Back
Top Bottom