Msaada tafadhali, anataka kuniroga

Nasema urogwe tu,urogwe tu. Tumechoka!
In Pindaz voice
 
Ujitokeze au hapana it is all the same!akikuroga kweli umekwisha ukijitokeza kisago unacho kwa hiyo kaa kimya subiri matokeo ya dhambi-huwa ni mauti anyway!
 
Ulishakubali endelea kukubali! Ungetushiriksha wakat bado hujamla mke mtu;ningekupa akili! Kwa sasa mwamin Yesu akuokoe utaepuka uchaw na uganga vngnevo mmmmhh!
 
hakuna atakae kuroga usiwe na imani haba huyo anakutia wasiwasi tu
 
Hasara kwa mzazi wako maana shule uliishia darasa la nne, ulipojua kusoma ukaacha shule, bahati mbaya hujui kuandika. Bado unavaa mlegezo, kwako wewe mwanamke akivulia khanga maana yake ni kuburudika?!
Pole sana.
 
ujana maji ya moto
 
Kama unatumia bange na viroba hulogeki. We endelea kutengeneza tv na kumtafunia mke wake.
 
kumbe ndiyo maana akili zako ni matope, umepatia kabsa hakuna mtu anayependa na kufatilia muziki wa hiphop asiweze kuvaa kata "k". kumbe wewe ni mkata kiuno nigekuwa mchawi nigemsaidia huyo baba akuronge! lara 1 ushawahi kuiona hii ya mubabe wako.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ndiyo maana akili zako ni matope, umepatia kabsa hakuna mtu anayependa na kufatilia muziki wa hiphop asiweze kuvaa kata "k". kumbe wewe ni mkata kiuno nigekuwa mchawi nigemsaidia huyo baba akuronge! lara 1 ushawahi kuiona hii ya mubabe wako.

HAHAHAAAAAAAAAA! Naona ulini miss. Usinichonganishe na MO11 nishaambiwa nisimtangazie biashara yake na wateja wake. Mwenzio ana soko hajadoda kama wewe mfuga ngombe!
 
Haka kastori nilikatunga tu
 
Yani we unatengeneza tv then unapata kishawishi kidogo tu unaanguka dhambini, we una mapepo pamoja na huyo mwanamke. Hakika unastahili adhabu kali sana kwa kuwa umekili kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…