Jana jirani yangu mwanamke
kaniita ndani kwake
nimrekebishie tv yake
nikaenda kweli
nikamrekebishia nimemaliza
nataka kuondoka akanizuia
akaachia khanga yake huku
ndani hajavaa kitu na baridi hili
tukaanza kuburudika wakati
tunaburudika mumewe
akagonga mlango haraka
haraka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango
mwanaume akapitiliza moja
kwa moja chooni nikavaa fasta
nikakimbia kumbe niliisahau
boxer yangu kwa kuwa kwetu
uswazi leo naamka naona ile
boxer kaianika na tangazo juu
"mwenye hii boxer ajitokeze
asipojitokeza baada ya siku
tatu namroga" hapa sina raha
kabisa na baadhi ya marafiki
wangu wanaijua kwa kuwa
navaaga mlegezo sijui
nijitokeze au ningoje kurogwa
Akuronge tu ukome kuto ---watuJana jirani yangu mwanamkekaniita ndani kwakenimrekebishie tv yakenikaenda kwelinikamrekebishia nimemalizanataka kuondoka akanizuiaakaachia khanga yake hukundani hajavaa kitu na baridi hilitukaanza kuburudika wakatitunaburudika mumeweakagonga mlango harakaharaka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango mwanaume akapitiliza mojakwa moja chooni nikavaa fastanikakimbia kumbe niliisahauboxer yangu kwa kuwa kwetuuswazi leo naamka naona ileboxer kaianika na tangazo juu"mwenye hii boxer ajitokezeasipojitokeza baada ya sikutatu namroga" hapa sina rahakabisa na baadhi ya marafikiwangu wanaijua kwa kuwanavaaga mlegezo sijuinijitokeze au ningoje kurogwa