Habari najua hapa kuna mafundi wa magari watanisaidia.....
Nina gari Harrier hizi 'Second generation' japo yenyewe ni ya muda kidogo. Kuna kipindi nilisafiri kwa muda kidogo hivyo niliipaki kwa muda...
Pole sana mkuu tatizo lako limegawanyika katika sehem kuu mbili..Habari najua hapa kuna mafundi wa magari watanisaidia...
Asanteni.
dah nashukuru sana sasa fundi wa kunifanyia haya nampata wapi?Pole sana mkuu tatizo lako limegawanyika katika sehem kuu mbili..
Mechanical problem na electrical problem..8
Mechanical problem.
Hapo ndio kwanza unazungumzia hiyo pump filter na strainer ukiachana na oil filter ndani chini ya sample kuna chujio tena huwa linaziba.
Fungua mfuniko oil engine. Kisha washa gari harafu angalia oil inaluka luka?? Kama ndio basi oil inapanda shida sio oil pump..
Kama hapana basi oil haipandi je kwa nn haipandi?? Fungua oil filter au switch ya oil..funguo oil filter na angalia kuna oil ya kutosha?? Au fungua switch ya oil na washa gari inatakiwa oil itoke kwa pressure kubwa sana. Kama hakuna oil basi oil pump au strainer chafu imeziba..
Electrical problem hapo inamaana switch mbovu au kama sio mbovu basi imejaa uchafu kiasi kwamba oil ya pressure haiwezi kupenya kwenye oil switch na kupress diaphram ili kuiwezesha switch iweze kufanya kazi yake..
Au switch yenyewe ni mbovu inashort circuit..au oil warning lamp circuit ina short.
Kuna sehem waya unagusana na erth /ground nakufanya taa iwake moja kwa moja.. ukitaka kufaham short circuit weka switch on harafu chomoa waya wa kwenye oil switch harafu weka switch on uone kama taa itaendelea kuwaka kama itazima basi cir uit iko powa..
tafuta kifaa cha OBDII tatizo la gari utalifahamu mara moja kuliko ufundi wa try and error, utapoteza pesa nyingi mno namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
.naomba nielekeza namna ya kukipata hicho nkifaa mkuu.
mkuu kwenye matengenezo huwa aweka oil safi kabisa "total"ngoma bado kibaya zaidi kuna kama kitu kinagonga hivi
Sio kweli kwa hiyo shida huwezi pima na mashine ikaonyesha na hakuna mashine ya kuweza kuonyesha shida ya hiyo gari zaidi ya kutrouble shoot manually.tafuta kifaa cha OBDII tatizo la gari utalifahamu mara moja kuliko ufundi wa try and error, utapoteza pesa nyingi mno namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ww upo wapi?? Mkoa gani/wilaya gani.dah nashukuru sana sasa fundi wa kunifanyia haya nampata wapi?
Okey ungefika ofisini ingekuwa bule lkn huko nje ya ofisi utagaramikia nauli ya kutoka mwenge mpaka huko mkuu kama utaweza hilo nitafika bila tatizodah mkuu nitashukuru sana mie niko dar maeneo ya stakishari ukonga na gari niko nayo hapa!!