MSAADA: T BETTER T 996 CGJ imeibiwa Orkesumet Simanjiro

MSAADA: T BETTER T 996 CGJ imeibiwa Orkesumet Simanjiro

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Kuna donge nono kwa atakayepata. Wadau tarehe 25. 12. 2014 nilipaki pikipik yangu barazani nyumbani hapa Simanjiro Orkesumet, nilipo amka asubuhi nikakuta nyayo mtu ameisukuma hadi njia panda ya Arusha, Kiteto-Dodoma, landanai-Mirereani-KIA. Baada ya hapo sijajua tena imeelekezewa wapi. Atakayeona anieleze, 0753878996 hata vocha yako nitakuridishia na zawadi ya ukweli. Badaae ntaandika ''engine na chassis number''.
# rangi nyeusi.
# mabaka ya white green na nyeusi kwenye siti.
Aksanteni.
# MODE TB 150
# MODEL NUMBER LZEPCKLA
# COLOUR BLACK
# CHASSIS NO. LZEPCKLAOC6813864
# ENGINE NO. ZJ162FMJC2513840
# IMPORTED FROM CHINA
 
Iweeekeeee trucking devices hutopataaa kwiiiikwiii za kujuaaa ikoo wap
 
Hii issue yako mkuu ni ngumu sana, sio kukuvunja moyo ila as per my knowledge,
Wizi wa pikipiki umeshamiri ndio ila hizo pikipiki hua haziendagi mbali. Zinahamishwa eneo then zinapigishwa kazi. Unaweza kua ushapishana nayo mara nyingi tu.
Wanafanyaga changes ndogo tu uc itambue kiuharaka kama kubadilisha rims na seat basi. Hata number plate saa zengine hawachange. Kua makini chief kwenye utaftaji ningekushauri uanzie kwa kuitafuta kama unatafuta pikipiki ya kununua kwa dili mtaani, unaweza ukalengeshwa kwenye yako.

Goodluck
 
Stay blessed

Back
Top Bottom