Naomba msaada wa ushauri nataka kanunua gari moja wapo kati ya Suzuki every au Suzuki jimmy, Je! ipi ni nzuri zaidi kwa maana ya matumizi ya mafuta, bei na uimara wa gari.
Yaan kama gari ina cc2000 kushuka chini na bado unahofia ulaji wa mafuta achaane na mambo ya magari.Nunua pikipiki Honda click cc250.Ukiweka mafuta full tank 8500
Naomba msaada wa ushauri nataka kanunua gari moja wapo kati ya Suzuki every au Suzuki jimmy, Je! ipi ni nzuri zaidi kwa maana ya matumizi ya mafuta, bei na uimara wa gari.
Hilo Suzuki every lina muonekani mbaya aiseee. Chukua Jimny, Cousin sister wa Prado, kwa upande wa off road. Sema duh, unasikiaje vishimo. In short Jimny hamna comfortability. Limekaa ki kazi kazi. Mafuta linanusa aisee hata Passo haioni ndani. Lakini kama wewe unataka kuwa chick magnet, itakuwa dead. But its better than walking.