Msaada: Storage insufficient alert on Infinix zero 4 plus

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
5,362
Reaction score
4,125
Habari zenu wakuu! Nimenunua simu aina ya Infinix zero 4 plus. Nimeweka line na kuiwasha cha ajabu nakuta storage status inasomeka 16.56 out of 32 GB, nimedownload apps mbili tu inaniletea alert ya storage insufficient na status ya storage inakuwa ni 17.29 out of 32 GB.

Naomba msaada wenu nifanyeje kurekebisha tatizo hili maana linanikosesha raha kabisa.
 
Format sim uanze upya ikizingua rudisha upewe nyingine kwanini uhangaike nayo wakati umenunua kwa pesa
 
Habari zenu wakuu! Nimenunua simu aina ya Infinix zero 4 plus. Nimeweka line na kuiwasha cha ajabu nakuta storage status inasomeka 16.56 out of 32 GB, nimedownload apps mbili tu inaniletea alert ya storage insufficient na status ya storage inakuwa ni 17.29 out of 32 GB.

Naomba msaada wenu nifanyeje kurekebisha tatizo hili maana linanikosesha raha kabisa.
Rudisha dukani
 
Mkuu bei gani iyo model. Au Vipi range Za bei zake kule dukani
 
hizo simu bado zipo juu, huku bongo utaambiwa laki6 lakini nairobi zinauzwa kati ya 400k-450k
 
Back
Top Bottom