Wakati unatafuta software, hebu angalia kwenye excel kuna sheets nyingi tu zinaweza kukusaidia. Fungua excel sheet, halafu nenda kwenye file, open new, business. Pitia moja moja Nina hakika utaona ya kukufaa. Unahitaji internet nadhani wakati unafungua kwa Mara ya kwanza. Kila la kheri