Nina printer aina ya EPSON L850 changamoto niliyonayo nashidwa ku print PVC card. Naomba msaada wa jina la software ili niweze ku download nifanye hii shughuli.