T ton11 Senior Member Joined Apr 8, 2019 Posts 110 Reaction score 150 Sep 26, 2023 #1 Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
King Elly JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,206 Reaction score 1,321 Sep 26, 2023 #2 ton11 said: Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer? Click to expand... Recuva
ton11 said: Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer? Click to expand... Recuva
T ton11 Senior Member Joined Apr 8, 2019 Posts 110 Reaction score 150 Sep 26, 2023 Thread starter #4 mactal said: Min tool data recovery Click to expand... Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
mactal said: Min tool data recovery Click to expand... Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
T ton11 Senior Member Joined Apr 8, 2019 Posts 110 Reaction score 150 Sep 26, 2023 Thread starter #5 ton11 said: Thanks naipataje au download? na je ni free of charge? Click to expand... Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
ton11 said: Thanks naipataje au download? na je ni free of charge? Click to expand... Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 27, 2023 #6 Tafuta hii DiskGenius professional utakuja kunishukuru
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,630 Reaction score 14,602 Sep 27, 2023 #7 Data deletion imefanyikaje..? Ili nijue nakupa tool ipi. Then kama unataka ile tool expensive zaidi (For Forensic purposes) check me PM.
Data deletion imefanyikaje..? Ili nijue nakupa tool ipi. Then kama unataka ile tool expensive zaidi (For Forensic purposes) check me PM.