Naombeni msaada wakuu mwanzo nilikuwa napokea notification za jamii forums lkn baada ya kuwa imezingua hapo katikati sipat tena notification....jee nifanye nn

Hilo tatizo sio lako tu ni janga la taifa nimejaribu kulipigia kelele kwa muda sasa lakini developers wapo kimya tu...... Lkn nadhani hujaelezea vizuri ni kwamba hupati notification kwenye notifications panel

yaaan settings zote ziko poa .....mwanzo nilikuwa nikizipata mfano niki subscribe topic,quotations nk but toka ilipo zingua kipindi fulan ndio ikawa mwisho.....nilijaribu ku download nyingine but hamna mabadiliko

Ndio hivyo tatizo developers wanalifumbia macho, zamani ilikuwa rahisi notification zikiingia ukienda kwenye notification panel unakuta list yote we kazi yako kuchagua tu but now unakuta blank...... Labda developers wataona hii thread na kutatua hili tatizo