hata kupiga uwezi sio hii huwa unabidi unlock baseband kwa hiyo jailbreak kwanza then install cydia kisha fungua cydia ukiwa umeconnect na wifi hata simu ya mtu hizi smart unaweza share nae internet connection kisha install ultra sn0w kisha sime itajirestart ndio network inarudi pia angalia kwenye settings>general>about angalia modem kama ipo na ni version gan