Msaada: simu Yangu inapata moto nikiwasha data

Msaada: simu Yangu inapata moto nikiwasha data

kama unawasha data hakikisha back groud app unazizima eg. fb, instant messenger (facebook, g plus, kakao talk, viber nk. ) bila kusahau ili kupunguza overheating jaribu kutumi opera ukiwa una browse kwani ipo fasta na haina mambo meng kama built in browser au chrome even mozila!
 
Simu inapata moto kwa sababu zifuatazo
1.kutumika kwa muda mrefu
2.kutumika huku ikiwa chaji
3.kutumika kwa data
4. Network kuto kutengamaa (unstable network)
Hivyo punguza matumizi ya kifaa chako.
 
Ukiongeza waliosema wadau hapo juu, hakikisha unazima na Auto Sync.
 
Back
Top Bottom