nichek pm nitakuelekeza;unipigie cm jins ya kukelekeza maana maelezo maref kidg
Nambie na mm. Vp umetumia hiyo ya chimti?
Nambie na mm. Vp umetumia hiyo ya chimti?
Mkuu Ubavu mimi niliwahi kuinstal AppMgr III niliweza kumuvuzisha App nyingi kwenda Sd card na space ikapatikana, lakini baadae kuna App ziligoma kabisa kuwa haziwezi move to Sd card.
Baada ya muda nika instal zingine. Imejaa tena, na hamna space, huku nikiangalia Internal Storage kuna 118MB free na External (Sd card) in 29.8 GB free. Hata kuapudate App yoyote inasema insufficient space!!!