Msaada: Simu yangu inakubali laini ya Vodacom pekee

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Nina simu yangu Nokia ya tochi model 105 nikiweka laini za mtandao mingine hazitaki kusoma isipokuwa laini ya vodacom peke ndo inakubali, tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Hicho Ni kitochi cha Voda, umeuziwa mbuzi kwenye gunia na mpaka last time naviona hakuna njia ya kuvitoa lock.
 
dhuu kweli hii mbuzi kwenye gunia kaka axante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…