nina ndoto
Member
- Feb 6, 2018
- 40
- 28
Cellular data limit exceeded..
2.01GB over specified limit
Naomba kufahamu tatizo
Hold hicho kimstari chekundu halafu peleka juuu mbali kabisa hutapata notification ten, hapo inamaana uliset data limit.
Si unaona umeweka limitation ya data sasa i off ili uendelee kupata data
Inaonekaana unashinda sana insta eh?
![]()
Ingia hapo upandishe juu hako kakirungu
