teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Aug 29, 2013 #1 Jamani wana jf simu yangu imechezewa na mtu na sasa maelezo yote ni kwa kifaransa sio kwa kiingereza natamani kuirudishia kiingereza nimeshindwa lkn kuna namna niliwahi kuambiwa kuwa kuna namba za kuingiza inafunguka naomba nisaidiwe.
Jamani wana jf simu yangu imechezewa na mtu na sasa maelezo yote ni kwa kifaransa sio kwa kiingereza natamani kuirudishia kiingereza nimeshindwa lkn kuna namna niliwahi kuambiwa kuwa kuna namba za kuingiza inafunguka naomba nisaidiwe.
JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 119 Aug 29, 2013 #2 Eleza aina ya simu utasaidiwa. Njia ya pili uliza mtu anayejua Kifaransa.
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Aug 29, 2013 Thread starter #3 Ni kisimu fulani cha mchina
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Aug 29, 2013 #4 ingiza kati ya hizi namba kisha piga *#0044# au *0044#
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 30, 2013 #5 shiny c said: ingiza kati ya hizi namba kisha piga *#0044# au *0044# Click to expand... Duh Hii nayo ndo njia ya kubadilisha lugha au?
shiny c said: ingiza kati ya hizi namba kisha piga *#0044# au *0044# Click to expand... Duh Hii nayo ndo njia ya kubadilisha lugha au?
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Aug 30, 2013 #6 hekimatele said: Duh Hii nayo ndo njia ya kubadilisha lugha au? Click to expand... Ndo Manaake
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Aug 30, 2013 Thread starter #7 Asante ngoja nijaribu