medsebapol JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 327 Reaction score 225 Oct 10, 2015 #1 Habar zenu wakubwa naomba utatuzi wa y330 ikiwa imewaka inaniletea ujumbe huu.(unfortunately,adobe air has stopped,) ni njia ipi nitumie ili iwe kawaida. NIFANYEJE ILI HUU UJUMBE UKOME. Attachments 1444485773365.jpg 24.9 KB · Views: 112
Habar zenu wakubwa naomba utatuzi wa y330 ikiwa imewaka inaniletea ujumbe huu.(unfortunately,adobe air has stopped,) ni njia ipi nitumie ili iwe kawaida. NIFANYEJE ILI HUU UJUMBE UKOME.
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Oct 10, 2015 #3 afande pande said: Uza nunua 300 Click to expand... duuuuuh y300 ndio majanga kabisaaa
M mbonshisha New Member Joined Aug 3, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Oct 10, 2015 #4 Jaribu kupunguza applications ulizoziweka kwenye simu yako kwani RAM itakuwa inashindwa kuzimudu zote ulizozifungua na zilizoko kwenye background.
Jaribu kupunguza applications ulizoziweka kwenye simu yako kwani RAM itakuwa inashindwa kuzimudu zote ulizozifungua na zilizoko kwenye background.