Jamani samahani, nina simu yangu ghafla tu haitoi sauti pindi nipigapo simu au kupokea na kuita inaita nimecheki spika zote ziko safi sielewi nini tattizo. Model ya Simu ni HTC one.
Jaman samahan nna sim yangu ghafla tu haitoi sauti pindi nipgapo simu au kupokea na kuita inaita nimecheki spika zote ziko safi sielew nin tattizo. Model ya Simu ni HTC one