badili launcher! wekw hii Free Download APK File of the ONE+ Launcher v2.6.20141124 for Android - APK4Fun
Wakuu habari zenu.
Naomba mnisaidie maana simu yangu ina tatizo la kutoonesha applications kwenye home screen hali inayonilazimu kuzunguka sana settings ili kulaunch app ninayo hitaji
hivyo ningependa kusaidiwa kupitia kwenu wanajf.
Natumia itel 1556 powerful smartphone
seting>>google >> select gmail ac unayo taka kuitoa then select vile vidoti vitatu ambayo vinakuwa juu kulia ingawa sijui kwa simu yako itakuwaje ila ikiwa haina vidot vitatu juu kulia tumia chin kushoto then select " remove account"Wakuu habari zenu.
Naomba mnisaidie maana simu yangu ina tatizo la kutoonesha applications kwenye home screen hali inayonilazimu kuzunguka sana settings ili kulaunch app ninayo hitaji
hivyo ningependa kusaidiwa kupitia kwenu wanajf.
Natumia itel 1556 powerful smartphone
seting>>google >> select gmail ac unayo taka kuitoa then select vile vidoti vitatu ambayo vinakuwa juu kulia ingawa sijui kwa simu yako itakuwaje ila ikiwa haina vidot vitatu juu kulia tumia chin kushoto then select " remove account"
sasa kama ni hivyo iweje ifiche appsNdio mkuu ina battery la 5050mAh
inatumika masaa 72
mmmmh tafuta launcher mkuuSjajua