Tatizo lishawahi nikuta nenda kwenye all apps ingia Google playstore,alafa clear all data ambayo ita automatically clear na cache.alafu try again kudownloadWasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba.
Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu
Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia playstore hata kama nkitaka ku aapdate ndo hivyo[emoji116]View attachment 1672919
Rakini kwasasa natumia aap1 APKpure niliidownlod googleView attachment 1672920 hii ndio inanisaidia kwa sasa rakini changamoto yake kuna baadhi ya apu zenye ukubwa kama tweeter zinagoma kuapulodi kupitia APKpure
Msaada mwenye uelewa kuusu hili anisaidie
Endelea kung'ang'ania hayo maumivu.Binafsi siwez
Umefanikiwa? Kama la basi jaribu ku download ukiwa umewasha VPNWasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba.
Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu
Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia playstore hata kama nkitaka ku aapdate ndo hivyo[emoji116]
View attachment 1672919
Lakini kwasasa natumia aap1 APKpure niliidownlod googleView attachment 1672920 hii ndio inanisaidia kwa sasa rakini changamoto yake kuna baadhi ya apu zenye ukubwa kama tweeter zinagoma kuapulodi kupitia APKpure
Msaada mwenye uelewa kuusu hili anisaidie