Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,224
Ila hii Lumia 720 wanaisifia sana ktk chaji, kwani hii HTC kwenye chaji ipoje mkuu?
mkuu htc 8x ilitoka na lumia 920 pamoja kiwa na battery ya 2000mah na htc 1800mah. hizi ni simu zinazofanana processor 1.5ghz dualcore krait na ram 1gb.
nokia alipokuja kutoa lumia 720 alieka processor 1ghz dualcore krait na ram 512mb (ina maaana kapunguza specification) lakini akaacha battery ile ile. ndio maaana 720 inakaa sana na chaji.
jinsi processor inavyokuwa ndogo na ram ndo jinsi inavyotumia energy ndogo na ndo jinsi inavyokaa sana na chaji
Hi wadau wote JF! naomba ushauri ni simu gani nzuri naweza nunu dukani ambayo ina spidi kubwa ya intanet , camera nzuri na inayoweza kuwa software programes nyingi na inatunza chaji. zenye bei ya wastani lakini ikiwa bei kubwa si mbaya! Nimeangalia kwa wauzaji wengi naona zinanichanganya simu aina moja bei tofauti tofauti!
Mkuu umenielewa tofauti, yaani napendekeza anunue HTC hakika hatajutia! hicho kitu ni balaa!
nb:
make sure is made in USA! ukiwasha tu inatkuambia made in USA!
Minafikiri unge taja kiasi cha fedha wana jF watakupa ushauri mzuri zaidi.Hi wadau wote JF! naomba ushauri ni simu gani nzuri naweza nunu dukani ambayo ina spidi kubwa ya intanet , camera nzuri na inayoweza kuwa software programes nyingi na inatunza chaji. zenye bei ya wastani lakini ikiwa bei kubwa si mbaya! Nimeangalia kwa wauzaji wengi naona zinanichanganya simu aina moja bei tofauti tofauti!
HTC ni ya wachina lakini nadhani kuna branch USA.hata iPhone Nokia Motorola no zinatengenezwa china na kampuni inaitwa foxconn.
Tatizo cm za kichina watu sijui kwa nini hawazikubali sana.